

Swahili instructions
Karibu kwenye ulimwengu wa kujifanyia WAXING. Kabla hujapitia maelekezo hapo chini, hakikisha umeandaa na kufahamu haya mambo muhimu hapa:
🦚Powder yoyote nyeupe utapaka kabla ili kuweka ukavu wa ngozi
🦚Moistrulizer (Isiwe lotion wala mafuta ya nazi) tunarecommend vaseline mgando au Alovera gel
🦚Nywele utoazo zisiwe ndefu ama fupi sana, walau zishikike na vidole sio kucha. Wianisha na kama kope zako.
🦚Eneo linalofanyiwa Wax liwe safi na kavu (nawa/oga) then pakaushe
🦚Usitoe Wax kwenye kopo yake kama bado haujawa tayari kuipasha kabla ya kutumia.
🦚Pasha ya kutoshea kutumia muda huohuo (Anza kutoa kidogo kwanza then utaongeza baadae)
📌NB: Tunza WAX yako *sehemu isiyo ya joto, jua iwe sehemu tulivu au kwenye baridi hakikisha umebana vizuri mifuniko yake yote hewa isipitie kabisa.
Warmer users Swahili video
Vya kuzingatia
Nywele zako zisiwe ndefu wala fupi za kushikia na kucha, ZIWE FUPI ZA KUSHIKIKA NA VIDOLE. Nywele za kwapa zisizidi size ya kope na Nywele za down there😉 zisizidi size ya kope za macho yako ya chini.
Nje ya hapo subiri ziinuke kama ni fupi sana, au nyoa mara ya mwisho ulivyozoea kuzinyoa subiri 5-7 days kama zilikuwa ndefu.
Hii itakusaidia ngozi yako isiume kwani moja ya sbb kuu ni kuinuka kwa ngozi, hivyo size nje ya maelekezo hupelekea kuinua ngozi.
📌NB: Tunza WAX yako *sehemu isiyo ya joto, jua iwe sehemu tulivu au kwenye baridi hakikisha umebana vizuri mifuniko yake yote hewa isipitie kabisa.
Contact
In case you need more help, please contact us via WhatsApp on the number below during our working hours as follows:
Monday to Saturday: 09:00am to 07:00pm
Sunday & Public Holidays: Closed.
WhatsApp/Call us on:
+255 786 651 070